IEBC YATAKIWA KUWAHAMASISHA WAPIGA KURA
Baadhi ya wakenya wameitaka tume ya IEBC kutoa hamasisho kwa wakenya kuhusu umuhimu wa kupiga kura ili kuhakikisha kuwa idadi kubwa inafahamu na kujitokeza kusajiliwa kama wapiga kura kwneye zoezi linaloendelea nchini.
Hii ni baada ya idadi ndogo kujitokeza, vingi vya vituo vya usajili vikirekodi chini ya watu 10 kwa siku wanaojitokeza.
Hata hivyo, IEBC imewataka wakenya kukusanya vitambulisho vilivyo tayari.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































