LAGAT AJIONDOA AFISINI KWA MUDA
Naibu Inspekta mkuu wa polisi Eliud Lagat amejiondoa afisini kwa muda.
Katika ujumbe aliotoa Lagat ameahidi kushirikiana na idara husika katika uchunguzi unaondelea katika kifo cha mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang.
Lagat ambaye ametuma risala zake kwa familia ya Ojwang anasema majukumu yake yatatekelezwa na msaidizi wake hadi uchunguzi utakapokamilika.
Imetayrishwa na Maureen Makhobe
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































