MAHAMKAMA YA UPEO YAATHIMISHA MIAKA 12 TANGU KUZINDULIWA NCHINI
Idara ya mahakama inaathimisha miaka 12 tangu kuzinduliwa kwake hasa mahakama ya upeo nchini
Kulingana na jaji mkuu Martha Koome mahakama ya upeo imekuwa na nafasi kubwa katika kulinda katiba na vile vile kuhakikisha wakenya wanapata haki.
Akitoa hotuba yake katika kongamano la kuathimisha mi9aka 12 linalofanyika katika ikulu ya Nairobi Koome aidha amezungumzia mchango wa idara ya mahakama katika kushughulikia kesi za uchaguzi.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































