#Local News

KUCO YALETA NAFUU HOSPTILANI

Wakati uo huo, chama cha maafisa wa Kliniki KUCO kimefutilia mbali mgomo wao ambao umedumu kwa zaidi ya siku 100, baada ya mashauriano na baraza la magavana.

Katika taarifa, katibu mkuu wa KUCO George Gibore, amesema wamekubalinaa kutia Saini mktaba wa kurejea kazini wakati wa mashauriano hayo.

Akitangaza kufutilia mbali kwa mgomo huo ulioanza tarehe 1 mwezi Aprili, Gibore amewataka maafisa wa kliniki kurejea kazini mara moja.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *