#Local News

DKT FRED MATIANG’I ATEULIWA KUWA MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA JUBILEE

Aliyekuwa waziri wa zamani Fred Matiang’i , ameteuliwa na baraza kuu la chama cha jubilee kuwa mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka wa 2027 kwa tikiti ya chama hicho.

Uamauzi huo umetangazwa  baada ya mkutano wa viongozi wakuu wa chama hicho hapa Nairobi, na katibu mkuu wa chama hicho jeremiah kioni

Aidha ametangaza kuwa Matiang’i pia ameteuliwa kuwa naibu kinara wa jubilee.

Imetayarishwa na Jones Koikai

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *