#Business

KODI YATAJWA KUWA KIZINGITI KWA MAENDELEO

Watengenezaji wa bidhaa nchini wanalalamikia kodi ya juu katika sekta ya uzalishaji wakiitaja kama kizingiti ambacho kinawazuia wawekezaji wa nje kuwekeza katika sekta hiyo.

Haya yamejiri baada ya kituo cha kimataifa cha fedha cha Nairobi kuweka lengo la kuwavutia wawekezaji wapya watakaochangia zaidi ya dola za kimarekani bilioni 2 kufikia mwaka 2028.

Hatua hii ya serikali inalenga sio tu kuongeza wawekezaji wa kigeni bali pia ni njia ya kutatua baadhi ya changamoto zinazokumba sekta ya uzalishaji.

Imetayarishwa na Maureen Amwai

KODI YATAJWA KUWA KIZINGITI KWA MAENDELEO

UTAFITI WAFICHUA HALI YA UCHUMI NCHINI

KODI YATAJWA KUWA KIZINGITI KWA MAENDELEO

REHANI YA MIRADI YAPIGWA JEKI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *