CS KAGWE ATAKA UFUMBUZI WA KIFEDHA KUIMARISHA KILIMO

Katika juhudi za kufufua uchumi, Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe amesisitiza umuhimu wa ufadhili shirikishi kwa sekta ya kilimo barani Afrika.
Akizungumza katika mkutano wa AfDB, amehimiza uwekezaji katika uchambuzi wa udongo, mbolea, hifadhi ya mazao, na viwanda vya kilimo.
Mkutano huo umehudhuriwa na Makamu wa Rais wa AfDB, Beth Dunford, na wadau wengine.
Imetayarishwa na Janice Marete