WAFULA; WAHUSIKA WAKAMATWE
Kiongozi wa wachache katika bunge la kaunti ya Transnzoia Erick Wafula ameshtumu mauaji ya kiholela eneo la kware Mukuru kwa njenga jijini Nairobi na vile vile mauaji ya baadhi ya waandamanaji na maafisa wa polisi wakati wa maandamano ya kupinga utendakazi wa serikali.
Wafula ametoa wito kwa serikali kuhakikisha wahusika wote wanakamatwa na kugfunguliwa mashtaka.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































