#Local News

KILIO CHA WAKULIMA WA KAHAWA BUNGOMA

Uuzaji haramu wa zao la kahawa katika kaunti ya Bungoma kwa mawakala nchini Uganda ndicho chanzo cha kudorora kwa vyama vya ushirika vya kahawa kwenye kaunti hiyo.

Haya ni kwa mujibu wa afisa wa vyama vya ushirika katika eneo bunge la Mlima Elgon Eric Kibet, ambaye ameapa kuweka masharti makali miongoni mwa kamati za vyama hivyo ili kudhibiti uuzaji haramu.

Wakati uo huo, washikadau katika sekta ya kahawa wamelalamikia siasa duni ambazo zimeelekezwa katika usimamizi wa vyama hivyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KILIO CHA WAKULIMA WA KAHAWA BUNGOMA

WIZARA YA VIJANA YAZINDUA KAMATI YA JINSIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *