GEN-Z WAHIMIZWA KUTOA NAFASI YA MAZUNGUMZO

Wasomi katika jamii ya Sabaot kaunti ya Transnzoia wamepongeza maandamano ya kizazi cha Gen-z kwa maswala ambayo waliyoibua huku wakimrai rais William Ruto kutekeleza malalamishi yao.
Wamesema kuwa ni jukumu la rais kuyashughulikia malalamishi yaliyoibuliwa na waandamanaji huku wakitoa wito kwa vijana kumpa mda rais William Ruto kutekeleza matakwa yao.
Imetayarishwa na Janice Marete