#Local News

ONDOA NYASI YAZINDULIWA WEST POKOT

Hali ya kimaisha ya wakazi wa kaunti ya West Pokot inatarajiwa kuimarika chini ya mpango wa Ondoa Nyasi Initiative wa serikali ya kaunti hiyo unaolenga kuwajengea nyumba za mabati na kuwahamisha kutoka nyumba za nyasi.

Mpango huo unaogharimu shilingi milioni 50, unalenga kuwafaidi wakazi 2,500 ambao watapokea mabati 10 kila mmoja.

Simon Kachapin ni gavana wa kaunti hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *