KATE OSAMOR ATEULIWA KUWA MJUMBE WA BIASHARA WA UINGEREZA KWA KENYA
Kate Osamor amepewa jukumu la kuwa Mjumbe wa Biashara wa Uingereza kwa Kenya na pia kwa Tanzania, Uganda, na Rwanda.
Osamor atatambua fursa za biashara na uwekezaji kwa ukuaji na ajira.
Yeye ni mmoja wa wabunge 32 wa Uingereza watakaohudumu katika nchi mbalimbali.
Kenya ilikuwa mshirika wa 72 kwa ukubwa wa biashara na Uingereza hadi Q3 2024 ikiwa inachangia asilimia 0.1% ya biashara yote ya Uingereza.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































