#Local News

ORENGO: SIFUNA BADO NI KATIBU MKUU HALALI WA ODM

Gavana wa Siaya James Orengo amesisitiza kuwa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna bado ndiye Katibu Mkuu halali wa chama cha ODM.

Akizungumza na wanahabari, Orengo amesema kuwa kwa mujibu wa taratibu za chama, Sifuna bado anatambuliwa kisheria kama mshikiliaji wa wadhifa huo, akipuuza hatua zilizochukuliwa na Kamati Kuu ya Kitaifa (NEC) kumwondoa.

Orengo amemtetea Sifuna akimtaja kama kiongozi mwaminifu na aliyejithibitisha ndani ya ODM, anayezungumza kwa niaba ya chama kwa uhalali.

Imetayarishwa na Cyrus Nyongesa

ORENGO: SIFUNA BADO NI KATIBU MKUU HALALI WA ODM

SIFUNA APINGA KUFUTWA UKATIBU MKUU ODM

ORENGO: SIFUNA BADO NI KATIBU MKUU HALALI WA ODM

SIFUNA APATA AFUENI YA MAHAKAMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *