#Local News

MUGIRANGO: WIZARA YA AFYA YACHUNGUZA UGONJWA ‘MGENI’

Huku waathiriwa Zaidi wakiendelea kulazwa hospitalini kutokana na ugonjwa usiojulikana katika eneo la South Mugirango kaunti ya Kisii, wizara ya afya imeendeleza uchunguzi dhidi ya ugonjwa huo ambao hadi sasa umeaathiri zaidi ya watu 200.

Kulingana na katibu katika wizara hiyo Mary Muthoni, sampuli zimekusanywa kutoka kwa wagonjwa na watu waliotangamana na wagonjwa, akiwahimiza wakazi kuwa makini serikali inapojizatiti kubaini chimbuko na maradhi hayo.

Waathiriwa wanaonyesha dalili za kutapika na kuendesha.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MUGIRANGO: WIZARA YA AFYA YACHUNGUZA UGONJWA ‘MGENI’

ATI ATI ZA SHA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *