#Local News

WANJIGI; SERIKALI INANIULIZA NINI?

Serikali ya rais william Ruto ikona nia ya kuniangamiza, haya ni kwa mujibu wa mfanyibiashara Jimmy Wanjigi kufuatia uvamizi wa nyumba yake eneo la Muthaiga wiki jana.

Wanjigi anadai kuwa sio mara ya kwanza kwa maafisa wa usalama kutatiza amani katika makazi yake kwani kulingana naye hata wakati wa utawala wa rais mstaafu uhuru Kenyatta bado makazi yake yalivamiwa na maafisa wa polisi.

Wanjigi aidha ameibua madai kwamba rais mstaafu uhuru kenyatta na rais WilliAM Ruto wana njama fiche dhidi yake akiwataka kuweza wazi wanachokitaka kutoka kwake.

Imetayarishwa na Janice Marete

WANJIGI; SERIKALI INANIULIZA NINI?

SENETI KUJADILI HOJA YA KUMBADUA GAVANA MWANGAZA

WANJIGI; SERIKALI INANIULIZA NINI?

MFUMO MPYA WA KUTUMA MAOMBI YA MIKOPO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *