#Sports

CITY WAINGIA AWAMU YA MWONDOANO

Kiungo wa Manchester City Ilkay Gundogan ameifungia klabu hiyo mabao mawaili katika ushindi wa mabao 6 kwa bila dhidi ya Al-Ain na kujikatia tiketi ya awamu ya mwondoano yaani last 16 mapema leo katika mashindano ya kombe la dunia la klabu yanayoendelea nchini Marekani.

City waliowacharaza Wydad AC mabao 3:0 kwenye mechi ya ufunguzi, watahitaji ushindi dhidi ya miamba wa soka wa Italia Juventus Alhamisi wiki hii ili kuibuka viongozi wa Group G, ili kukwepa kukutana na kigogo wa Grouh H inayojumuisha miamba wa soka wa Uhispania Real Madrid kwenye awamu ya mwondoano.

Mabao mengine ya City yamefungwa na Erling Haaland kupitia mkwaju wa penalty, Claudio Echeveri, Oscar Bobb na Ryan Cherki

Imetayrishwa na Antony Nyongesa

CITY WAINGIA AWAMU YA MWONDOANO

POGBA ATANGAZA KUREJEA UWANJANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *