#Local News

POLISI WAIMARISHA MSAKO TRANS NZOIA

Serikali imeimarisha juhudi za usalama katika kaunti ya Trans Nzoia ili kudhibiti visa vya uvamizi wa magenge ya uhalifu, washukiwa kadhaa wa visa vya hivi punde vya uhalifu wakikamatwa.

Akizungumza kwenye kaunti hiyo, naibu inspekta mkuu wa polisi Gilbert Masengeli, amethibitisha kukakamatwa kwa washukiwa kadhaa na kuongeza kuwa serikali haitalegeza juhudi zake za kuimarisha doria nchini.

Amewataka wakazi kushirikiana na vitengo vya usalama ili kuwafichua washukiwa wa uhalifu miongoni mwao.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

POLISI WAIMARISHA MSAKO TRANS NZOIA

MWANZO WA UFUNGUZI WA MWISHO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *