#Local News

ASKARI POLISI ANATAFUTA HAKI KATIKA MALI YA MAMILIONI YA BABUYE

Askari polisi mwenye umri wa miaka 55 amewasilisha kesi katika Mahakama Kuu mjini Eldoret akitaka umiliki wa mali ya babu yake aliyefariki miaka minane iliyopita.

Stanley Kibet Kogo, ambaye anaishi katika kituo cha polisi cha Yamumbi katika kaunti ndogo ya Kesses amewashtaki wajomba zake, Emmanuel Kiptoo Lamai na Benjamin Kiptoo Lamai kwa kumbagua katika ugawaji wa mali ya marehemu Alfred Kaplamai Bor.

Imetayarishwa na Janice Marete

ASKARI POLISI ANATAFUTA HAKI KATIKA MALI YA MAMILIONI YA BABUYE

KENYA YAATHIMISHA SIKU YA VIJANA DUNIANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *