#Local News

HAKIKISHENI WATOTO WOTE WANAFANYA MITIHANI, WAKUU WA SHULE

Huku mtihani wa kitaifa wa kidato cha 4 KCSE na ule wa KPSEA ukiendelea, walimu wakuu wa shule wametakiwa kuhakikisha watahiniwa walio na ujauzito wanapata mazingira salama ya kufanyia mitihani yao ili kuhakikisha wanafanya vyema na kuafikia ndoto yao.

Akizungumza katika eneo bunge la Mlima Elgon, mwakilishi wa kike katika kaunti ya Bungoma Catherine Wambilianga, amesema ni wajibu wa kila msimamizi wa shule kuhakikisha watahiniwa wanafanya mitihani yao bila tashwishwi yoyote.

Aidha, amewahimiza wazazi kuwatunza wanao wakati wa likizo ndefu inayoanza wiki hii.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

HAKIKISHENI WATOTO WOTE WANAFANYA MITIHANI, WAKUU WA SHULE

OLIVER GLASNER AFAIDHAISHWA NA MATOKEO YA EPL

HAKIKISHENI WATOTO WOTE WANAFANYA MITIHANI, WAKUU WA SHULE

RAIS RUTO APINGA KESI ZA GACHAGUA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *