PENDEKEZO LA MINONG’ONO
Viongozi kutoka eneo la Northrift wamepinga vikali mpango wa serikali kuiondoa kaunti ya Elgeyo Marakwet kwenye orodha ya maeneo yanayostahili wafanyakazi wa umma kulipwa fedha za ugumu wa mazingira, wakitaja mpango huo kuwa wa kusikitisha.
Miongoni mwa viongozi hao ni mwakilishe wa kike wa kaunti hiyo Caroline Ng’elechei, mbunge wa Mogotio Reuben Kiborek na mwenzake wa Keiyo South Gideon Kimaiyo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































