MBUNGE KAKAI ASHINIKIZA SULUHU YA KUDUMU KWA MAFURIKO
Serikali imetakiwa kusaka makazi ya kudumu kwa waathiriwa wa mafuriko ambao huathirika kila msimu wa mvua katika kaunti ya Trans Nzoia, ili kuwaondolea mahangaiko ya kukosa makazi.
Katika kikao na wanahabari baada ya kutoa misaada kwa waathiriwa katika eneo la Machungwa, mbunge wa Kiminini Kakai Bisau, amesema hiyo ndiyo njia mwafaka ya kuepusha hasara ya mafuriko kila mara.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































