#Local News

HOFU YA MAFURIKO BUDALANG’I

Wakazi wa Budalang’i kaunti ya Busia wameiomba serikali kuchimba mabwawa makubwa kwenye mito ya Nzoia na Yala ili kudhibiti mafuriko ya kila mara eneo hilo.

Wakiongozwa na mbunge wa eneo Raphael Wanjala, wakazi hao wamesema kuwa wameingiwa na hofu ya kusombwa na mafuriko, kutokana na mvua kubwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

HOFU YA MAFURIKO BUDALANG’I

RUTO AWAHAKIKISHIA WAVUVI USALAMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *