MUUAJI NI HUYU;WAKENYA WAFICHUA SURA YA AFISA ALIYEWAFYATULIA RISASI WAANDAMANAJI

Video hiyo ya kushtua ambayo imechapishwa katika mtandao wa TikTok na kusambazwa kwenye majukwaa mengine yote ya mtandaoni, inaangazia nguvu ya kikatili iliyotumiwa na maafisa wa polisi wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha.
Imetayarishwa na Janice Marete