#Local News

ROSE NJERI AFIKISHWA KOTINI

Mwanaharakati na mtaalam wa masuala ya mitandao Rose Njeri amefikishwa mahakamani hapa Nairobi akikabiliwa na kesi ya kuwachochea wakenya dhidi ya mswada wa fedha wa 2025 26.

Miongoni mwa wanaomtetea Njeri ni Pamoja na aliyekuwa jaji mkuu David Maraga na kinara wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka wakikosoa kukamatwa kwake.

Njeri anatuhumiwa kwa kuanzisha mchakato kupitia mtandao wa kuwawezesha wakenya kupinga mswada huo.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

ROSE NJERI AFIKISHWA KOTINI

ROSE NJERI AACHILIWA KWA DHAMANA.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *