#Local News

WAGOMBEAJI WA KASIPUL WATOZWA ADA KWA KUSABABISHA MACHAFUKO

Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC  imewatoza faini  ya shillingi million 1   wagombeaji wa eneo bunge la kasipul Body Were na Philip Aroko kufuatia makabiliano mabaya yalityosababisha vifo vya watu wawili .

Baraza la uchaguzi limesema kuwa adhabu hiyo inafaa kulipwa chini ya saa 48  huku wawili hao wakipewa onyo kali na kuhimizwa kuwa mstari wa mbele katika kudumisha amani  eneo hilo.

 aidha IEBC imesema kuwa uchaguzi wa eneo hilo utaendelea kama ilivyoratibiwa  hapo awali  kila mgombea akitakiwa kufuata sheria za uchaguzi .

Imetayarishwa na Jones Koikai

WAGOMBEAJI WA KASIPUL WATOZWA ADA KWA KUSABABISHA MACHAFUKO

VIONGOZI WA UPINZANI WAISHTUMU SERIKALI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *