KALONZO:WABUNGE WALIOUNGA MKONGO HOJA YA KUMBANDUA GACHAGUA NI WASALITI
Hazima ya wabunge wa chama cha wiper waliopiga kura ya kuunga mkono hoja ya kumtimua mamlakani naibu wa rais Rigathi Gachagua iko mikononi mwa kinara wa chama hicho Kalonzo Musyoka.
Kalonzo ametishia kuwafurusha chamani wabunge wote waliounga mkono hoja hiyo akisema kuwa ni wasaliti chamani.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































