KENYA YAADHIMISHA MIAKA 60 YA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA NAIROBI

Sherehe za kuathimisha miaka 60 ya kidiplomasia zinaendelea jijini Nairobi huku mkuu wa mawairi Musalia Mudavadi akiongoza sherehe hizo.
Wakenya ambao wamechangia pakubwa katika shughuli za kidiplomasia wamepata fursa ya kupokeatuzo kwenye hafla hiyo.
Wanariatha mabigwa akiwemo Faith Kipyegon, Eliud Kipsonge wamepokezwa tuzo hizo huku timu ya kitaifa ya mchezo wa raga na shirika la ndege la kenya airways pia wakmetuzwa katika hafla hiyo.
Imetayarishwa na Janice Marete