GACHAGUA AWATAKA MAWAZIRI WAPYA KUWA WAADILIFU
Naibu wa rais Rigathi Gachagua amewataka mawaziri kutia bidii kazini na vile vile kukumbatia maadili wanapowahudumia wakenya.
Kwa mujibu wa gachagua kuthamini ubora katika utumishi wa umma ni jambo la burasa na manufaa kwa wakenya.
Imetayrishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































