WAKENYA 6 WASAKWA

Zoezi la kuwasaka wakenya 6 kujaza nafasi za makamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC linaendelea, wakenya 5 wakijitetea hii leo mbele ya kamati ya uteuzi kuhusiana na uwezo wao wa kuhudumu kwenye tume hiyo.
Wanaohojiwa hii leo ni Grace Surpin, Hali Mutisya, Humphrey Kimani, Issak Shaban na Ibrahim Rashid.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa