#Business

UTEKELEZAJI WA CBC WAKUMBWA NA MVUTANO WA MALIPO

Utekelezwaji wa mtaala wa umilisi (CBC) unakabiliwa na changamoto, huku Kenya ikikumbwa na ucheleweshaji wa kukamilika kwa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQIP), unaofadhiliwa na Benki ya Dunia.

Ingawa muda wa mwisho wa kukamilika uliongezwa na fedha kugawanywa, mradi huo bado haujakamilika kutokana na mvutano kati ya serikali na wakandarasi kuhusu malipo ya kazi zilizokamilika.

Benki ya Dunia imeanzisha ukaguzi wa mradi huo, huku wanakandarasi wanane wakipata amri ya mahakama inayozuia Wizara ya Elimu kufuta kandarasi zao, kwa madai ya kutotendewa haki.

Imetayarishwa na Mercy Asami

UTEKELEZAJI WA CBC WAKUMBWA NA MVUTANO WA MALIPO

FAMILIA YAFURUSHA POLISI MWEA

UTEKELEZAJI WA CBC WAKUMBWA NA MVUTANO WA MALIPO

MZIGO WA WAFANYIKAZI HEWA WAMLEMEA MLIPA USHURU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *