GACHAGUA AAPA KUUNGANISHA MLIMA

Naibu Rais Rigathi Gachagua ameahidi kuwa atahakikisha eneo la Mlima Kenya linaungana, huku akipinga kuwapo mvutano baina yake na baadhi ya viongozi katika eneo hilo.
Akizungumza katika hafla ya mazishi katika eneo la Kirinyaga, Gachagua hata hivyo amekiri kuwapo kwa viongozi wanaotaka kuligawanya eneo la kati kisiasa.
Imetayarishwa na: Antony Nyongesa