#Local News

JAJI WA MAHAKAMA YA JUU AFARIKI

Idara ya utoaji haki imepata pigo kufuatia kifo cha jaji wa mahakama ya upeo Ibrahim Mohammed, aliyefariki jana alasiri baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Kulingana na ripoti, jaji huyo alikuwa ameratibiwa kustaafu tarehe 1 mwezi ujao, baada ya kuhudumu katika idara ya mahakama kwa kipindi cha miaka 23.

Kupitia taarifa, jaji Mkuu Martha Koome, amemtaja jaji huyo kama mtetezi dhabiti wa katiba, haki ya uchaguzi na hadhi ya ubinadamu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

JAJI WA MAHAKAMA YA JUU AFARIKI

MAAFISA WA KLINIKI WATANGAZA MGOMO

JAJI WA MAHAKAMA YA JUU AFARIKI

WANAFUNZI WA GREDI YA 10 KUJUA SHULE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *