WAKULIMA BUSIA KUNUFAIKA NA MFUMO WA KUONGEZA MAZAO
Serikali ya kaunti ya Busia imezindua mradi wa kuongeza dhamani ya mazao ya kilimo katika juhudi za kuinua viwango vya kilimo kaytika kaunti hiyo
Wakiongozwa na Garisson Wandera wakulima wanasema kupitia mradi huo mazao yao yataimarika huku wakiipongeza serikali ya kaunti kwa kuanzisha mradi huo
Vile vile wameitaka serikali ya kaunti kuhakikisha kwamba mradi huo unatekeleza majukumu yake kikamilifu ili kuinua mapato ya wakulima
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































