MGOMO: MATIBABU YALEMAZWA MTRH

Shughuli muhimu za matibabu zimekwama katika hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi jijini Eldoret kutokana na mgomo wa wauguzi ambao umeanza hii leo, wagonjwa wakisalia na mahangaiko.
Miongoni mwa malalamishi ya wauguzi hao ni madai kwamba hospitali hiyo imekataa kununua vifaa vya matibabu na hivyo kufanya kazi yao kuwa ngumu.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa