OWALO: SERIKALI IKO KWENYE NJIA SAHIHI
Wananchi wanaendelea kunufaika na miradi ya serikali ya Kenya Kwanza inayotekelezwa kulingana na manifesto yake, amesema Naibu Mkuu wa Wafanyakazi katika Ofisi ya Rais, Eliud Owalo.
Owalo amewahimiza wananchi kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali ili kuboresha maisha yao zaidi.
Kwa mujibu wa tathmini ya maendeleo, gharama ya maisha imepungua, pembejeo za kilimo zimekuwa nafuu, na zaidi ya nyumba 130,000 zimejengwa huku ajira 200,000 zikiundwa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































