#Local News

KENYA KUNUFAIKA NA USHIRIKIANO MPYA NA MAREKANI

Kenya inatarajiwa kunufaika zaidi na ushirikiano wake na Marekani kufuatia mkutano wa ngazi ya juu kati ya Waziri Mkuu wa Kenya na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Seneta Marco Rubio, jijini Washington DC.

Mazungumzo yao yamelenga kuimarisha usalama wa kikanda, kuharakisha mkataba wa biashara huru kati ya Kenya na Marekani, na kuunga mkono juhudi za amani Afrika, hasa DRC na Haiti.

Rubio ameahidi kuitembelea Kenya hivi karibuni kuendeleza uhusiano huo wa kimkakati.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *