#Football #Sports

TIMBER: ARSENAL WANA ARI YA UBINGWA

Mlinzi wa Arsenal, Jurrien Timber, anaamini kuinua Kombe la Ligi ya Uingereza kunaweza kuhamasisha Gunners kufanikisha mafanikio zaidi msimu huu.

Timu ya Mikel Arteta ipo dakika 90 kutoka kumalizia miaka sita bila taji kuu baada ya kuiondoa Chelsea kwenye uwanja wa Emirates Jumanne, na kuhakikisha nafasi katika fainali itakayofanyika mwezi ujao.

Arsenal pia wanaongoza ligi ya Premier kwa alama sita mbele, na wameingia hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kampeni bora bila kushindwa katika awamu ya makundi.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

TIMBER: ARSENAL WANA ARI YA UBINGWA

IEBC YAMTEUA SUNKULI KUWA KAIMU CEO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *