#Local News

SERIKALI KUFUNGA KAMBI ZA WAATHIRIWA WA MAIMAHIU

Serikali imetangaza kufunga Kambi zilizoko eneo la maimahiu ambazo zinatumika na waadhiriwa wa mkasa wa maimahiu ambapo watu zaidi ya watu 60 walifariki dunia na wengine161 kuachwa bila makao baada ya bwawa la Old Kijabe kuvunja kingo zake na kusababisha mafuriko.

Kwa mujibu wa Waziri wa Afrika mashariki na maeneo kame Peninah Malonza kambi 198 zilijengwa kote nchini na tayari 92 zimefungwa.

Akizungumza alipowatembelea waadhiriwa wa Maimahiu, Malonza amewahakikishia kwamba serikali itatimiza ahadi yake ya kuwapa arthi mbadala watakakohamia.

Imetayarishwa na Janice Marete

SERIKALI KUFUNGA KAMBI ZA WAATHIRIWA WA MAIMAHIU

RUTO AONGOZA HAFLA YA MAOMBI YA KITAIFA

SERIKALI KUFUNGA KAMBI ZA WAATHIRIWA WA MAIMAHIU

MWILI WA CHERUIYOT KUSALIA MLIMA EVEREST

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *