#Local News

MURKOMEN ATETEA ‘JUKWAA LA USALAMA’

Serikali imeendeleza juhudi zake za kuwahamasisha wakenya kuhusu jukumu lao la kuhakikisha usalama nchini mbali na kuchukua malalamishi ya wakenya kuhusu changamoto za kiusalama.

Kwa sasa Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen yuko katika kaunti ya Kisii ambako anafanya kikao maarufu kama jukwaa la usalama, akitetea vikao hivyo dhidi ya shutuma kwamba vinatumika kufuja fedha za umma.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MURKOMEN ATETEA ‘JUKWAA LA USALAMA’

RAIS RUTO AFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *