MASHIRIKA SITA YASHUTUMIWA KWA KUTOWAFIDIA WAADHIRIWA WA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA

Mashirika 6 ya ujenzi wa barabara yamelaumiwa kwa kucheleweshwa kuwafidia watu walioathiriwa ili kupisha miradi 123 ya ujenzi wa barabara kote nchini.
Tume ya kitaifa ya arthi imefichua kuwa mashirika hayo yanadaiwa fidia ya shilingi bilioni 56 kwa watu walioathiriwa licha ya miradi hiyo kukamilika.
Imetayarishwa na Janice Marete