HARAMBEE STARS NJE YA CECAFA
Harambee Stars imejiondoa kwenye Mashindano ya CECAFA ya Mataifa manne nchini Tanzania kufuatia tathmini ya kiufundi.
Timu sasa inajiandaa kwa ajili ya CHAN 2024
Imetayarishwa na Nelson Andati
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































