USHIRIKIANO WA KENYA-FINLAND
Uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano wa kibiashara baina ya Kenya na Finland unatarajiwa kuimarika kufuatia mikataba mbali mbali itakayotiwa Saini kati ya Rais William Ruto na mwenzake wa taifa hilo Alexander Stubb ambaye yuko nchini.
Alexander na mkewe Suzanne Ines-Stubb wamepokelewa katika Ikulu ya Nairobi kwa ziara ya siku 3 humu nchini.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































