#Local News

MBUNGE WA MANYATTA MUKUNJI AHIMIZA USHINDANI WA HAKI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO

Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji ameapa kuwakusanya wabunge wengine kulinda kampuni za mawasiliano ya simu dhidi ya ushindani usio wa haki unaofanywa na makampuni ya kimataifa anayosema hayawafaidi Wakenya kiuchumi.

Akizungumza katika Shule moja iliyoko Manyatta, Kaunti ya Embu wakati wa uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa miundo msingi wa Ksh.10.6 milioni na Mukunji amesisitiza haja ya kusaidia kampuni za mashinani zinazoajiri wananchi na kuchangia jamii kupitia mipango ya uwajibikaji kwa jamii (CSR).

Mukunji ameonya kuwa wabunge hawataruhusu kampuni za kimataifa kutoa huduma bila kwanza kuanzisha afisi zinazoajiri Wakenya na kuchangia katika maendeleo ya jamii.

Imetayarishwa na Janice Marete

MBUNGE WA MANYATTA MUKUNJI AHIMIZA USHINDANI WA HAKI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO

WIZARA YA AFYA YATHIBITISHA KISA CHA TANO

MBUNGE WA MANYATTA MUKUNJI AHIMIZA USHINDANI WA HAKI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO

WAZIRI WAHOME AHIMIZA SHULE ZA USANIFU KUKAGUA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *