SERIKALI YA KAUNTI YA KAKAMEGA YANUNUA DAWA ZA MILIONI SITA

Ni afueni kwa wagonjwa na wakaazi wa kaunti ya kakamega baada ya Serikali ya kaunti hiyo kununua dawa za kima cha shilingi milioni sita za hosipitali kuu ya kaunti hiyo.
Gavana wa kaunti Hiyo Fernandez Barasa akitoa onyo kali kwa wasimamizi wa vituo vya afya vya kaunti hiyo dhidi ya kuwatuma wagonjwa kununua dawa kwingine na kwamba watakaopatikana wakifan ya hivyo watakabiliwa kwa m ujibu wa sheria.
Imetayarishwa na Janice Marete