MABALOZI WA MATAIFA WAWASILI KATIKA IKULU YA NAIROBI
Mabalozi wa mataifa mbali mbali wanaendelea kuwasili katika ikilu ya Nairobi , rais Ruto akimpokea balozi wa taifa la Tunisia ameahidi kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia katika taifa la kenya na Tunisia kwa upande wake balozi wa Tunisia Anouar Ben Youssef ameahidi kuwa Taifa lake litashirikiana na Kenya katika sekta mbali mbali kufuatia uhusiano wa kidiplomacia wa muda mrefu kati ya mataifa hayo mawili.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































