#Local News

SERIKALI: UPINZANI UNAJIRUSHIA VITOZA MACHOZI

Serikali imeibua madai kwamba viongozi wa upinzani wamekuwa wakipanga vurugu kwenye mikutano yao kwa lengo la kuvutia huruma kutoka kwa wananchi ili wapate uungwaji mkono, hatua ambayo serikali inasema itakabiliana nayo kisheria.

Akizungumza siku moja baada ya mkutano wa viongozi hao kaunti ya Kakamega kutatizwa kwa vitoza machozi, Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen, amesema serikali itafanya kila iwezalo kuwakabili viongozi wa kisiasa wanaoendeleza vurugu taifa linapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Amesema idara ya usalama iko macho kuzima tishio lolote la kiusalama.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI: UPINZANI UNAJIRUSHIA VITOZA MACHOZI

DCI YACHUNGUZA VURUGU ZA MBALE

SERIKALI: UPINZANI UNAJIRUSHIA VITOZA MACHOZI

OWINO AMLAUMU OMOLLO KWA VURUGU KISUMU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *