JIMMY KIBAKI AJIUZULU KUWA KIONGOZI WA CHAMA CHA THE NEW DEMOCRAT

Mwanawe aliyekuwa rais wa tatu Mwai Kibaki Jimmy Kibaki amejiuzulu kuwa kiongozi wa chama cha the new democrat.
Katika traarifa jimmy amesema ameziuzulu ili kutumia muda wake katika familia na biashara.
Kujiuzulu kwa jimmy kunajiri wakati ambapo kumeanza kuonekana mienendo mipya katika uongozi wa kisiasa eneo la mlima kenya.
Jimmy alijiunga na chama hicho 2021 na akachaguliwa kuwa kiongozi.
Imetayarishwa na: Janice Marete