ONGEZEKO LA DHULUMA UASIN GISHU LATINGA WASIWASI

Waathiriwa wa dhuluma katika Kaunti ya Uasin Gishu wanazidi kuteseka, huku Wawakilishi Wadi wa Kike wa Bunge la Kaunti wakilaani vikali kuongezeka kwa visa vya unyanyasaji.
Viongozi hao wanatoa wito kwa wadau wa jamii kushirikiana kukomesha ukatili huu na kuhakikisha waathiriwa wanalindwa dhidi ya madhila zaidi.
Imetayarishwa na Janice Marete