#Local News

1,932 WAPATA A KCSE 2025

Watahiniwa 270,000 wa mtihani wa KCSE wa mwaka jana wamepata alama ya C+ na zaidi, ambayo ni alama ya wastani ya kuijunga na vyuo vikuu, ambayo ni asilimia 27 ya watahiniwa 993,000 waliokalia mtihani huo wa mwaka jana.

Akizungumza baada ya kukabidhiwa matokeo hayo katika Ikulu ndogo ya Eldoret, Rais William Ruto ameweka wazi kwamba watahiniwa 1,932 miongoni mwao walipata alama ya A.

Hafla ya kutangaza matokeo hayo rasmi inaendelea jijini Eldoret.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

1,932 WAPATA A KCSE 2025

ARSENAL WAPOTEZA NAFASI YA KIPEKEE

1,932 WAPATA A KCSE 2025

KCSE 2025: IDADI YA A PLAIN YAONGEZEKA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *