TAHADHARI YA KIPINDUPINDU
Unatakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambao umesababisha vifo vya watu 18 mwezi huu pekee, jumla ya kaunti 6 zikiripoti visa vya mamabukizi ya ugonjwa huo.
Waziri wa afya Aden Duale, amesema kuwa serikali inafanya kila iwezalo kudhibiti ugonjwa huo, visa 379 vikiwa vimerekodiwa tayari.
Miongoni mwa kaunti hini ni Nairobi
Imetayrishwa na Antony Nyongesa
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































